Ili kufanya mchanganyiko wa mara mbili, chagua matokeo mawili kwenye mechi moja.
Mfano 1; Mechi ya kwanza hauna uhakika kama timu ya kwanza au ya pili itashinda, unaweza kuweka hizi bet mbili kupitia bet moja kwa kuchagua timu zote mbili kwa hiyo mechi.
Ikiwa ungependa kufanya mchanganyiko wa mara mbili kwenye mechi 3 za MJPpro, utakuwa umeweka bet 8 za MJP kwa jumla. yaani 2^3 (2*2*2=8 dau za MJP)
Ili kutengeneza mchanganyiko wa mara tatu, chagua matokeo 3 kwenye mechi moja.
Mfano 2; ikiwa ungependa kufanya mchanganyiko wa mara tatu, kwa sababu hauna uhakika vile hiyo mechi itaenda, unachagua timu ya kwanza, draw na timu ya pili. Hii itakuwa ni bets tatu tofauti.
Mchanganiko wa mara tatu kwenye mechi 3 za MJP pro, utakuwa umeweka bets 27 za kwa jumla. yaani 3^3 (3*3*3=27 dau za MJP)
Vikomo vya mchanganyiko:
• Mchanganyiko wa mara mbili ni hadi mechi 10
• Mchanganyiko wa mara tatu ni hadi mechi 5
• Mchanganyiko wa mara mbili na mara tatu ni hadi mechi 10
Kuna kipengele cha kina kinachokusaidia kuchagua haraka MJP pro bet yako na hapa unaweza kuchagua kategoria yako ya bet na nambari za mchanganyiko kwenye kipengele hiki.
Mara tu unapofanya chaguo zako, Betslip itaonyesha chaguo zako wote na yafuatayo:
1. Nambari ya mechi uliochaguliwa.
2. Kategoria ya nambari ya Jackpot
3. Idadi ya mchanganyiko uliofanywa.
4. Kiasi cha bet.
Thibitisha Bet Yako kisha bonyeza weka bet na uithibitishe.
Bet yako ikishawekwa, ujumbe utaonyeshwa kwenye skrini yako ili kuthibitisha uwekaji wa bet yako ya Mega Jackpot pro.
Kumbuka:
Wewe ni mshindi wakati utabiri wako wote unalingana na matokeo ya mchezo kwa kategoria uliyocheza.
Mega Jackpot inapata kugawanywa sawa sawa kati ya washindi wote kwa kila Kategoria.
Bonasi zinatuzwa kwa tabiri sahihi kama ilivyo onyeshwa hapa chini:
13/13 Mega jackpot Pro bet - 10, 11, 12, tabiri sahihi.
14/14 Mega jackpot Pro bet - 10, 11, 12, 13, tabiri sahihi.
15/15 Mega jackpot Pro bet - 10, 12,13, 14 tabiri sahihi.
16/16 Mega jackpot Pro bet - 11, 12, 13, 14, 15 tabiri sahihi.
17/17 Mega jackpot Pro bet - 12, 13, 14, 15, 16 tabiri sahihi.
Unaweza kuweka bets nyingi jinsi utakavyo kwenye Mega Jackpot, kila bet itagharimu KSHs 99.